Habari za Punde

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGA MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA WAZAZI DODOMA.

 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahaman Kinana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania anayemaliza muda wake Alhajj Abdallah Kalembo, wakiwa wamesimamo wakimbo wimbo wa kupkelewa walipowasili katika ukumbi wa mkutano huo.(Picha na Ikulu)

 WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM waliosimamia uchaguzi huo wakiwa katika ukumbi wa mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wakisubiri kutowa matokeo ya uchaguzi Mkuu.
WAGOMBEA wa Nafasi za Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi na wasimamizi wa uchaguzi huo.
 MSIMAMIZI wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Jerry Slaa akisoma matokeo ya wagombe wa Nafasi mbalimbali za Wazazi katika ukumbi ya Jakaya Kikwete Dodoma.
 WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi wakishangilia wakati wa kutangazwa kwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Dr. Edimund Mndolwa Benard  na Makamu Mwenyekiti wake Haidar Abdallah Haji. kushinda uchaguzi huo na kuiongoza Jumuiya ya Wazazi kwa kipindi cha miaka mitano.

 MWENYEKITI mpya wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dr. Edmund Mndolwa Benard akielekea katika meza kuu baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo ya Mwenyekiti wa Wazazi Tanzania.
 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Wazazi Tanzania baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi Mkuu katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma Dr. Edimund Mndolwa Benard.
 MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania Dr. Edimund Mndolwa akitowa shukrani kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi kwa kumpa nafasi kuongoza jumuiya hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.