Habari za Punde

MAMIA WAJITOKEZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI WA AZAM TV

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wa marehemu Idd Salum wakielekea makaburini wakati wa mazishi yake Desemba 26 2017. Picha na Francis Dande
Meya wa zamani wa Kinondoni, Alhaji Salum Londa akiwa ni miongoni mwa waombolezaji.
Wanahabari pamoja na ndugu wakielekea makaburini.
Mwandishi wa habari wa Kituo cha Runinga cha ITV, Hemed Kivuyo akielekea makaburini
Kuelekea makaburini.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Idd Salum wakati wakielekea makaburini.
Safari ya mwisho hapa duniani ya marehemu Idd Salum.
Shughuli za mazishi zikiendelea.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki wakiwa makaburini.
Waombolezaji.
Mwili wa marehemu ukihifadhiwa kaburini.
Taratibu za mazishi zikiendelea.
Shughuli za mazishi zikiendelea
Waombolezaji wakishiriki maziko ya Idd

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.