Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA QUEENELIZABETH ALIVYOTUA BONGO NA TAJI LA AFRIKA LEO

 'World Miss University Africa' (Peace) QueenElizabeth Makune akiwasili uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Cambodia alikoshiriki mashindano hayo ya dunia mwishoni kwa wiki.
 'World Miss University Africa' (Peace) Queen Elizabeth Makune akiwasili uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Cambodia alikoshiriki mashindano hayo ya dunia mwishoni kwa wiki. Wa pili (kulia) ni Katibu MKuu wa Baraza laMichezo Tanzania BMT, Mohamed Kiganja.
 Mrembo huyo akipozi kwa picha na mratibu wake wa shindano la Miss University, Muba
  Queenelizabeth, akifanya mahojiano na waandishi wa habari.

Mahojiano yakiendelea.....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.