Habari za Punde

MICHUANO YA KOMBE LA MAPINDUZI YAANZA KUTIMUA VUMBI MJINI ZANZIBARMshambuliaji wa Timu ya Jamuhuri Mussa Ali (kulia)akimtoka beki wa Mwnge wakati wa mchezo wa ufunguzi wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi iliyoanza  leo katika uwanja wa Aman mjini Zanzibar. Katika mchezo huo timu ya Jamuhuri imeshinda bao 1 -0, lililofungwa na katika dakika ya 31 kupindi cha kwanza. 
Katika mchezo wa saa 8, mchana ulizikutanisha Timu za Mlandege na JKU, Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa mabao 2 - 1 Mabao ya mlandege yamefungwa na Khamis Abuu katika dakika ya 18 kipindi cha kwanza. bao la Pili limefungwa na Abubakar Ame katika dakika ya 60 kipindi cha pili bao la JKU limefungwa na Khamis Abdallah katika dakika ya 34 kipindi cha kwanza.
Kikosi cha Timu ya Mwenge 
Kikosi cha Timu ya Jamuhuri 
Mshambuliaji wa Timu ya Jamuhuri (kulia) Mussa Ali akichuana kuwania mpira na beki wa Mwenge Haysam Khamis 
Kocha Mkuu wa Timu ya Mwenge Salum Bausi akitowa maelekezo kwa timu yake kabla ya kuaza kwa mchezo wake na Timu ya Jamuhuri katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Mwenge imeshinda bao 1 -0.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.