Habari za Punde

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI IGP SIRRO AKIWA ZIARANI KUTOKEA KIGOMA KWENDA KATAVI, AWAPA POLE WANANCHI WALIOPATA AJALI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, alievaa nguo ya kijani akishilikiana na wananchi kupata ufumbuzi wa magari yaliokuwa yamepata ajali kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro akikagua ajali iliyotokea kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX, iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili. Picha Na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro wa kwanza mkono wa kulia akiangalia ajali iliyotokea kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda Mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, akipokelewa na maafisa wa Jeshi la Polisi mkoani katavi baada ya kuwasili mkoani humo. 
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro akiagana na wananchi waliokuwa wamepa ajali baada ya kuhakikisha ufumbuzi wao wa kuondoka umepatikana, ajali hiyo iliyotokea kati ya roli aina ya fuso na basi la kampuni ya Adventure lenye no T 186 AKX iliyokuwa ikitokea mkoani katavi kwenda mkoa wa Kigoma, ajali hiyo imetokea eneo la Mishamo barabara ya Kigoma – Mpanda mkoani Katavi wakati akitokea mkoa wa Kigoma alipokuwa na ziara ya kikazi siku mbili.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.