Habari za Punde

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM (NEC) MJINI DODOMA

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichofanyika katika Ukumbi wa White House mjini Dodoma. Wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman  Kinana pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim akiwaaga wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CC) mara baada ya kumaliza muda wake.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.