Habari za Punde

MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM (NEC) MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana wakati alipokuwa akiwasili katika eneo la Mkutano na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC (hawaonekani pichani) katika eneo la Mkutano mjini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana
Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula mara baada ya kuwasili katika eneo la mkutano wa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC mjini Dodoma. Wa pili kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Zanzibar, Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein aliyeketi pamoja na Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe Halmashauri Kuu ya Taifa ya (CCM) NEC mjini Dodoma.
Wajumbe mbalimbali wa NEC wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika mjini Dodoma.
Wajumbe mbalimbali wa NEC wakizungumza katika mkutano huo uliofanyika mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasikiliza wajumbe mbalimbali wa NEC walipokuwa wakijitambulisha katika mkutano huo wa NEC mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwasikiliza wajumbe mbalimbali wa NEC walipokuwa wakijitambulisha katika mkutano huo wa NEC mjini Dodoma. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.