Habari za Punde

NGOMA AFRICA BAND YAWATAKIA HERI YA MWAKA MPYA 2018

 Kamanda Ras Makunja akiongoza gwaride la FFU -ughaibuni
 Gwaride kwa kasi zaidi ya Ngoma Africa band aka FFU
Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU Ughaibuni yenye makao yake nchini ujerumani inawatakia wadau wote popote mlipo heri ya mwaka mpya 2018 ,inawaombea amani,upendo na mshikamano  Happy New Year  2018

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.