Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA NYUMBA ZA MAKAZI ZA NHC IYUMBU DODOMA LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi wengine kufunua kitambaa kuashiria kufunguliwa kwa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na viongozi wengine kukata utepe kuashiria kufunguliwa kwa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo
 Muonekano wa baadhi za nyumba nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na NHC na kufunguliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli  eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa NHC wakati wa sherehe za ufunguzi wa  nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Spika Job Ndugai, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi,Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu wakati wa sherehe ya ufunguzi wa nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wafanyakazi wa NHC wakati wa sherehe za ufunguzi wa  nyumba 150 mpya za makazi zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Iyumbu nje kidogo ya mji wa Dodoma leo. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.