Habari za Punde

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK SHEIN AJUMUIKA KATIKA SALA YA IJUMAA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA MASJID NUNGE DODOMA MJINI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nunge Dodoma Mjini leo.
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu Mkoani Dodoma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akitowa nasaha zake baada ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid Nungwe Dodoma Mjini leo. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.