Habari za Punde

SEMINA YA UTOAJI WA MATOKEO YA UTAFITI WA KUTATHMINI UPATIKANAJI WA HUDUMA ZA AFYA

 Dkt. Jonas Mcharo Mwakilishi wa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro akizungumza na washiriki wa Semina ya Utoaji wa Matokeo ya Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji wa Huduma za Afya Nchini wa Mwaka 2014/15 na Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania wa Mwaka 2015/16 katika Ukumbi wa Chuo cha Uhamiaji Moshi.
 Washiriki wa Semina ya Utoaji wa Matokeo ya Utafiti wa Kutathmini Upatikanaji wa Huduma za Afya Nchini wa Mwaka 2014/15 na Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania wa Mwaka 2015/16  wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi (hayupo pichani) Dkt. Jonas Mcharo Mwakilishi wa Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
PICHA ZOTE NA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.