Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Morocco,Mheshimiwa Habib El Malk(kulia) jana katika maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania Bara.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akifurahi jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk(kulia) nyumbani kwake mjini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akiteta jambo na Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk(kushoto) nyumbani kwake mjini Dodoma ikiwa ni baada ya kumalizika kwa maadhimisho ya miaka 56 ya uhuru wa Tanzania Bara.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimkaribisha Spika wa Bunge la Morocco, Mheshimiwa Habib El Malk (kulia) nyumbani kwake mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa mazungumzo yenye lengo ya kudumisha urafiki baina ya nchi mbili.
No comments:
Post a Comment