Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe (mwenye suti) akimkabidhi jezi Mwenyekiti wa Klabu ya Stand
United Charles Lugeta ikiwa ni sehemu ya ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya
kubahatisha ya BIKO.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (wa tatu toka kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni mia moja Mwenyekiti wa Klabu ya Stand United Charles Lugeta ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
nchini (TFF) Wilfred Kidau akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)
wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United
ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha ya
BIKO Charles Lugeta akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa
hafla ya kukabidhi shilingi milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni
sehemu ya udhamini toka Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya BIKO.
Mbunge wa Shinyanga Mjini Steven Masele akizungumza na
waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi shilingi
milioni moja kwa timu ya Stand United ikiwa ni sehemu ya udhamini toka Kampuni
ya michezo ya kubahatisha ya BIKO. Picha na Eliphace Marwa - Maelezo
No comments:
Post a Comment