Habari za Punde

UTT AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WANANCHI MBALIMBALI NA WASHIRIKI WA SEMINA MJINI MOROGORO

Maafisa wa UTT AMIS wakitoa elimu ya jinsi mifuko ya Uwekezaji wa pamoja inayosimamiwa na kampuni hiyo na kwamba ni suluhisho kubwa la maisha baada ya kustafu katika semina iliyoandaliwa na 'National Institute of Productivity' (NIP) mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.