Habari za Punde

WABUNGE WAENDELEA KUJIFUA KUHAKIKISHA MAKOMBE YOTE YANABAKI TANZANIA

  Wabuge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakiwa katika mazoezi ya kuvuta kamba  Viwanja wa Jk Yourth Kidongo chekundu leo Dec 1 2017 kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Kombe la Mabunge ya Afrika Mashariki yaliyoanza jijinin Dar es Salaam, leo Ijumaa. Picha na Muhidin Sufian (MAFOTO)
Wachezaji wa timu Netiboli ya Bunge wakichuana na wenzao wa timu ya Taswa Queens wakati wa mchezo wa kirafiki katika viwanja vya JK Yourth Kidongo chekundu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa,ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya michuano ya Kombe la Mabunge ya Afrika Mashariki yaliyoanza leo jijini. Katika mchezo huo timu hizo zilifungana mabao 37-37. Kwa upande wa Soka la wanaume timu ya Taswa Fc wamshinda kwa mabao 4-2 katika mchezo wa kirafiki uliochezwa uwanjani hapo leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.