Habari za Punde

WAFANYAAKAZI MWALIMU COMMERCIAL BANK (MCB), WAJIPANGA KUBORESHA ZAIDI HUDUMA MWAKA 2018

Afisa Mtendaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi, akizungumza wakati wa semina hiyo jijini Dar es Salaam, Desemba 2, 2017
****************************
NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
WAKATI Mwaka 2017 ukifikia ukingoni taasisi mbaliombali nchini zimeanza kuwakusanya watumishi wake na kufanya tathmini ya utendaji na kujadili namna ya kuzikabili changamoto walizokutana nazo ili hatimaye kuongeza ufanisi mwaka ujao 2018.
Miongoni mwa taasisi hizo ni Mwalimu Commercial Bank, (MCB), ambao wamekutana jijini Dar es Salaam, ili kufanya tathmini ya kiutendaji na kuweka mikakati mipya waingiapo mwaka 2018.
Wafanyakazi hao kutoka idara mbalimbali wakiongozwa na Afisa Mtednaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi pia walipatiwa semina kuhusu masuala mbalimbali ya kiuwajibikaji katika maeneo tofauti kutoka kwa mtaalamu wa kujenga umoja kwa wafanyakazi ili kupata matokeo bora, (Team building consultant), Elizabeth Wachuka.
Ili kuonyesha ushirikiano wafanyakazi hao walibadilishana zawadi mbalimbali ambapo kila mfanyakazi alimuandalia zawadi mfanyakazi anayemvutia zaidi kiutendaji.
Afisa Mtendaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi, akizungumza wakati wa semina hiyo jijini Dar es Salaam, Desemba 2, 2017
Afisa Mtendaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi, akizungumza wakati wa semina hiyo jijini Dar es Salaam, Desemba 2, 2017
Wafanyakazi kwa utulizvu wakisikiliza kilichokuwa kikizungumzwa.
Wafanyakazi kwa utulizvu wakisikiliza kilichokuwa kikizungumzwa.
Wafanyakazi kwa utulizvu wakisikiliza kilichokuwa kikizungumzwa.
Meneja Msoko, Bi. Rahma Ngassa
Wafanyakazi kwa utulivu wakisikiliza kilichokuwa kikizuhgumzwa.
Msaidizi wa Afisa Mtendaji Mkuu wa MCB, Furaha Johnson, akisaini kwenye makubaliano ya kimkakati ambayo kila mfanyakazi atawajibika
Wafanyakazi wakiwa kwenye kikundi wakijadiliana.
Afisa Mtendaji Mkuu wa MCB, Bw.Ronald Manongi, (mwenye t-shirt ya mistari, akiungana na wafanyakazi wenzake katika majadiliano ya vikundi.
Mtaalamu wa kujenga umoja kwa wafanyakazi ili kupata matokeo bora, (Team building consultant), Elizabeth Wachuka. akitoa mada.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.