Habari za Punde

WANANCHI WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI SIKU YA UZINDZUZI WA KAMPUNI YA UZALENDO.

 Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa Bibi. Leah Kihimbi (wapili kushoto) akizungumza wakati Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (wapili kulia) alipokutana na wadau wa sekta anazozisimamia kuhamasisha wadau hao kuunga mkono kampeni ya uzalendo itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe nane Desemba Mkoani Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Habari Mhe. Juliana Shonza 
  Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza wakati Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe alipokutana na wadau wa sekta anazozisimamia kuhamasisha wadau hao kuunga mkono kampeni ya uzalendo itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe nane Desemba Mkoani Dodoma.
 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe akizungumza alipokutana na wadau wa sekta anazozisimamia kuhamasisha wadau hao kuunga mkono kampeni ya uzalendo itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe nane Desemba Mkoani Dodoma leo Jijini Dar es Salaam.
  Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) pamoja na Mkurugenzi Maendeleo ya Michezo Bw. Yusuph Singo (katikati) na Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fissoo (kushoto) wakifuatilia wakati Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) alipokutana na wadau wa sekta anazozisimamia kuhamasisha wadau hao kuunga mkono kampeni ya uzalendo itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe nane Desemba Mkoani Dodoma.
Mjumbe wa kamati ya uzalendo Bw. Mrisho Mpoto (kulia) akizungumza wakati Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (katikati waliokaa) alipokutana na wadau wa sekta anazozisimamia kuhamasisha wadau hao kuunga mkono kampeni ya uzalendo itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe nane Desemba Mkoani Dodoma. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza
 Mwanamziki mkongwe nchini Bw. John Kitime (aliyesimama) akichangia wakati Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) alipokutana na wadau wa sekta anazozisimamia kuhamasisha wadau hao kuunga mkono kampeni ya uzalendo itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe nane Desemba Mkoani Dodoma.
 Baadhi ya wadau wa sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokua yakiendelea wakati Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) alipokutana na wadau wa sekta anazozisimamia kuhamasisha wadau hao kuunga mkono kampeni ya uzalendo itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe nane Desemba Mkoani Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akimkabidhi mshindi wa shindano la Ubingwa wa Dunia uzito wa kati Bw. Ibrahim Class hundi ya shilingi milioni kumi na nane wakati Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) alipokutana na wadau wa sekta anazozisimamia kuhamasisha wadau hao kuunga mkono kampeni ya uzalendo itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe nane Desemba Mkoani Dodoma.
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza wakati Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) alipokutana na wadau wa sekta anazozisimamia kuhamasisha wadau hao kuunga mkono kampeni ya uzalendo itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe nane Desemba Mkoani Dodoma. Picha na: Genofeva Matemu - WHUSM

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.