Habari za Punde

WAZIRI MHAGAMA AKABIDHIWA VIFAA VYA WATU WENYE ULEMAVU NA SERIKALI YA KUWAIT KUPITIA CHUO CHA UFUNDI CHA YOMBO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa mbalimbali vya watu wenye ulemavu katika Chuo Cha Ufundi Cha Yombo kinachotoa mafunzo kwa Walemavu, Dar es Salaam jana , kulia ni Balozi wa Kuweit nchini Tanzania, Jasem Al-Najem. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akizungumza jambo mara alipowasili katika chuo hicho
Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (wa kwanza kushoto), wakati mmoja wa mwanafunzi wa Chuo hicho, Lenah Sauli alipokua akishona nguo
Mkufunzi Mkuu Msaidizi Regina Makotha (kulia) akizungumza kwa kuwapa ishara yale aliyokuwa akizungumza Waziri Mhagama
Wanafunzi wa Chuo Cha Ufundi Cha Yombo kinachotoa mafunzo kwa Walemavu wakiashiria kupiga makofi wakati walipokuwa wakipewa ishara na Mwalimu wao, Mkufunzi Mkuu Msaidizi Regina Makotha (pichani hayupo) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama alipokuwa akizungumza nao
Balozi wa Kuweit nchini Tanzania, Jasem Al-Najem akizungumza jambo katika hafla fupi ya kumkabidhi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kushoto) vifaa mbalimbali kwa watu wenye ulemavu ikiea ni msaada kutoka serikali ya Kuweit, hafla iliyofanyika jana katika Chuo Cha Ufundi Cha Yombo kinachotoa mafunzo kwa Walemavu, Dar es Salaam jana, wakwanza kushoto ni Katibu Muhutasi wa Balozi na wakwanza kulia ni Mkalimani wa Balozi, Abdallah Yahaya 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi cherehani, Lenah Sauli (kushoto)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akimvisha miwani mwanafunzi wa Chuo hicho, Mandela Lamwai ambaye anasomea ufundi umeme
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama akimkabidhi mafuta maalumu ya kujipaka kwa watu wenye ulemavu wa ngozi mwanafunzi wa Chuo hicho, Mandela Lamwai ambaye anasomea ufundi umeme, wa tatu kushoto ni Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al-Najem 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.