Habari za Punde

WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA WASILI MKOANI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa mkoa wa Dodoma wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5, 2017, baada ya safari ya Singida, Lindi na Dar es salaam. Kulia kwake ni mkewe Mary.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mekewe Mary wakiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Benilith Mahenge wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 5, 2017. Mheshimiwa Majaliwa amerejea Dodoma baada ya safari katika mikoa ya Singida, Lindi na Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.