Habari za Punde

AKUTWA AMEKUFA NJIA PANDA IKISADIKIWA KWA KIPIGO

Wakazi wa Mbezi Juu kwa Sanya wakimuangalia kijana aliyekutwa amefariki na kulazwa njia panda akisadikiwa kuuawa na watu wasiojulikana majira ya saa nane usiku wa kuamkia leo jumapili Jan 21, 2018. hadi gari la askari lilipofika kuchukua mwili wa marehemu huyo majira ya kumi na dakika 27 usiku bado hakuweza kufahamika.  Aidha mtu huyu alikutwa amefungwa na kitambaa miguuni na haikujulikana alikuwa akitokea wapi hadi kukutwa na janga hilo. Mtu huyo alikutwa akiwa na Boksa pekee bila suluali wala kitu chochote kinachoweza kumtambulisha.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.