Habari za Punde

BREAKING NEEEEEWZZZZ!!!!! WATU 11 WAFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa watu 11 wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko Biharamulo mkoani Kagera. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.