Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Bajaji yenye namba za usajili MC 495 BJT ikiwa imepakia matenga matupu yaliyozidi bodi kiasi cha dereva kushindwa kutumia vioo vya pembeni, jambo ambalo inaweza kumsababishia ajali kama alivyokutwa na mpigapicha wetu barabara ya Mbagala eneo la Mission.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.