Habari za Punde

SIMBA YAPIGWA 'STOP' NA MWENGE KOMBE LA MAPINDUZI

 Kiungo wa Simba, Said Ndemla (kushoto) akimtoka mchezaji wa Mwenge Fc ya Pemba wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Aman mjini Zanzibar. Katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bao 1-1, huku Simba wakiwa kwanza kupata bao katika dakika ya 2 kupitia kwa Jamal Mwambeleko, na bao la Mwenge lilifungwa na Humud Abrahman Ally katika dakika ya 28. Hadi zinamalizika dakika 90 timu hizo zilitoka uwanjani zikiwa sare ya 1-1. Picha na Othman Maulid, Zanzibar
 Kocha wa Simba Djuma, akizungumza na wachezaji wake 
Benchi la Simba....

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.