Habari za Punde

SINGIDA UTD ILIVYOIADHIBU ZIMAMOTO KOMBE LA MAPINDUZI

 Mchezaji wa Timu ya Singida Utd, Michell Rusheshangoga, akiwatoka wachezaji wa Zimamoto, Amour Haji na Shafii Hassan, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliochezwa kwenye Uwanja wa Aman mjini Zanzibar. Katika mchezo huo Singida Utd  imeshinda  bao 3 - 2. Picha na Othman Maulid
 Elinywesia Edward wa Singida Utd, (kushoto) akimiliki mpira huku beki wa Zimamoto Amour Haji akijiandaa kumzuia wakati wa mchezo huo. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.