Habari za Punde

TANZIA: MKE WA NAIBU WAZIRI KANGE LUGOLA AFARIKI


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA MAKAMU WA RAIS

TANZIA

Ofisi ya Makamu wa Rais inasikitika kutangaza kifo cha Bi. Mary J. Lugola Mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mhe. Kangi Lugola kilichotokea leo tarehe 01/01/2018 jijini Dar es Salaam. Taarifa zaidi na taratibu za mazishi zitatolewa baadae.
Mungu aipumzishe roho ya Marehemu mahali pema peponi, Amina.

Imetolewa na Ofisi ya Makamu wa Rais,
Dodoma Tanzania.
 01 Januari, 2018

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.