Habari za Punde

VIDEO:WAZIRI MKUU AIAGIZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUUNDA CHOMBO KITAKACHOSIMAMIA MASUALA YA FUKWE


Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza wizara ya maliasili na utalii kuunda chombo kitakachomamia maeneo yenye fukwe, ili kulinda maeneo hayo yaweze kuvutiwa na watalii wakigeni wanaokuja katika maeneo hayo. Waziri mkuu ameyasema hayo wakati wa kufunga tamasha la utalii lililofanyika Mabamba Bay wilayani ya NYASA mkoani Ruvuma.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.