Habari za Punde

WAZIRI MPANGO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA GAVANA MTEULE WA BOT

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwa katika mazungumzo na Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Prof. Florens Luoga, ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.