Habari za Punde

WAZIRI MWAKYEMBE AKETI NA VIONGOZI WA YANGA, SIMBA KUJADILI MAENDELEO YA SOKA NCHINI

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (aliyevaa suti nyeusi) akizungumza na viogozi wa Sekta  ya Michezo wa Wizara yake,Shirikisho la Mpira wa Miguu hapa nchini (TFF) pamoja na viongozi wa klabu za mpira wa miguu za Simba na Yanga leo Jijini Dar es Salaam kuhusu maendeleo ya Sekta hiyo hapa nchini.
 Katibu Mkuu wa Klabu ya Yanga   Bw. Charles Mkwasa akizumgumza katika kikao baina ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) , Viongozi wa Sekta ya Michezo wa Wizara,TFF na  viongozi  wa Klabu za Simba na Yanga leo Jijini Dar es Salaam kuhusu maendeleo ya Sekta hiyo hapa nchini. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Maendeleo ya Michezo hapa nchini Bw.Yusuph Singo.
Kaimu Rais wa Klabu ya Simba Bw.Salim Addullah (aliyevaa shati la blue bahari) akizumgumza katika kikao baina ya Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe  (wa kwanza kulia) , Viongozi wa Sekta ya Michezo wa Wizara,TFF na  viongozi  wa Klabu za Simba na Yanga leo Jijini Dar es Salaam kuhusu maendeleo ya Sekta hiyo hapa nchini.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.