Waziri wa afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na
Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kushoto akimjulia hali mgonjwa aliyelazwa kwenye
hospitali ya taaluma na Tiba Mloganzila wakati alipotyembelera hospitali hiyo
ili kuangalia hali ya utoaji huduma leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na baadhi ya wananchi waliokuwa wanasuburi huduma kwenye hospitali ya taaluma na Tiba Mloganzila wakati alipotyembelera hospitali hiyo ili kuangalia hali ya utoaji huduma leo jijini Dar es salaam.. wa kwanza kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo na Huduma za Hospitali hiyo Prof. Aboud Said.
Waziri wa afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu katikati akiongea na waandishi wa habari alipotyembelea hospitali ya Taaluma na Tiba Mloganzila ili kuangalia hali ya utoaji huduma leo jijini Dar es salaam,wa kwanza kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo na Huduma za Hospitali hiyo prof. Aboud Said.
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo na Huduma za Hospitali Mloganzila wa kwanza kulia Prof. Aboud Said. Akizungumza na waandishi wa habari wakati Waziri wa afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu katikati alipotyembelea hospitali ya Taaluma na Tiba Mloganzila ili kuangalia hali ya utoaji huduma leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu katikatiakitembelea maeneo ya Hospitali ya Taaluma na Tiba Mloganzila alipotyembelera hospitali hiyo ili kuangalia hali ya utoaji huduma leo jijini Dar es salaam.. wa kwanza kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo na Huduma za Hospitali hiyo Prof. Aboud Said. Picha na Ally Daud-Wizara ya Afya
No comments:
Post a Comment