Habari za Punde

BOFYA HAPA KUPATA MATOKEO YA UCHAGUZI KINONDONI

Wananchi wa Kinondoni, leo February 17. 2018 wamepiga Kura kuchagua Mbunge wa Jimbo hilo katika Uchaguzi Mdogo, pamoja na vurugu kadhaa kuibuka katika jimbo hilo lakini haya ndoyo matokeo halisi ya kile walichopanda wagombea wakati wa kampeni zao.

Matokeo ya Uchaguzi Mdogo katika majimbo Kinondoni na Siha yanaendelea kutoka kwenye vitu tofauti tofauti, huku zoezi la kuhesabu kura likiendelea kwenye vituo vingine.
Haya ni matokeo kwenye baadhi ya vituo vya kupigia kura, katika kata ya Makumbusho, Kinondoni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.