Habari za Punde

CHAMA CHA WAMILIKI NA WAFUGA MBWA CHAZINDULIWA DAR

Mbwa wa Polisi akionyesha jinsi anavyoweza kumdhibiti mhalifu ili kurahisisha kazi ya askari kumweka chini ya ulinzi wakati wa halfa ya uzinduzi wa Chama cha Wamiliki na wafugaji wa Mbwa,uliofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club leo 
Askari  Polisi akionyesha jinsi mbwa wa Polisi anavyoweza kupita katika sehemu hatari wakati wa dharula wakati wa halfa ya uzinduzi wa Chama cha Wamiliki na wafugaji wa Mbwa,uliofanyika kwenye Viwanja vya Leaders Club leo Jumamosi Feb 3, 3018. Picha Zote na Muhidin Sufiani

Booonge la Mbwa kaa Ndama.... KUONA PICHA ZAIDI ZA MBWA KAMA NG'OMBE BOFYA HAPA

Mdau akishow love na mbwa wake
Mgeni rasmi, Kamishna wa Operesheni ya Mafunzo ya Jeshi la Polisi Nsato, akizungumza wakati akizindua rasmi Chama cha wamiliki na Wafugaji wa Mbwa kwenye Viwanja vya Leaders Clubleo
Paredi la Polisi na mbwa wao waliofundishwa kufuata amri. Hapa wameamriwa kuketi chini huku wao wakipiga paredi
Onyesho la mbwa wa Polisi akipita katika tundu za Ringi huku akisindikizwa na askari wake
Mbwa waliopata medali katika mashindano yaliyofanyika Afrika ya Kusini
Wadau wakipita mbele ya jukwaa kuu na mbwa wao

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.