Habari za Punde

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU BUNGENI LEO MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Ismani na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Kiteto, Emmanuel Papian Bungeni mjini Dodoma Februari 5, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Ileje, Janet Mbene kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Februari 5, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuui) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mji Mkongwe, Ali Saleh kwenye viwanja via Bunge Mjini Dodoma Februari 5, 2018. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.