Habari za Punde

RAIS MAGUFULI AHUDHURIA KUSIMIKWA ASKOFU MKUU WA TANO WA KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA DAR ES SALAAM LEO

Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch. Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka wakfu na kusimikwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana nchini Dkt Jacob Chimeledya kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018
Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Mteule Mch. Can. Jackson Sosthenes Jackson akiweka sahihi hati ya kiapo baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo leo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018.
Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Willim Mkapa akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kuwa Askofu wa Dayosisi hiyo katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
Jaji Mkuu wa Tanzania Mstaafu Mhe Augustino Ramadhani akipiga kinanda kwenye sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama janeth Magufuli wakikomunika kwenye sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama janeth Magufuli pamoja na Rais Mstaafu Mhe. Benjamin William Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa wakishiriki katika Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
Rais Magufuli akizungumza katika misa hiyo maalumu ya kumsika Askofu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea machache baada ya kushiriki katika Ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson baada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsihi Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Nchini Dkt. Jacob Chimeledya kuketi kwenya kiti alichoandaliwa yeye wakati wa kupiga picha za pamoja wakati wa sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Nchini Dkt. Jacob Chimeledya na viongozi wengine wakati wa sherehe za kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu wa Tano wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Jackson Sosthenes Jackson katika Kanisa Kuu la Anglikana St. Albano Upanga jijini Dar es salaam leo February 4, 2018. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.