Habari za Punde

TRL KUANZA KUTOA HUDUMA YA USAFIRI WA TRENI YA ABIRIA IJUMAA HII MACHI 2

 Kaimu Naibu Mkurugenzi wa Kampuni ya Reli Tanzania, Focus Sahani, akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi za TRL jijini Dar es Salaam leo mchana, wakati akitangaza kuanza rasmi kwa safari za Treni ya abiria Ijumaa wiki hii baada ya kukamilika kwa marekebisho ya njia ya Treni eneo la Kilosa Gulwe lililokuwa limeharibika kwa mafuriko tangu Januari 01-2018. Katikati ni Mkuu wa Usafirishaji TRL, Shaaban Kiko.
 Mkutano huo ukiendelea.....
 Wanahabari wakiwa kazini katika mkutano huo
Aidha Sahani alisema kuwa baada ya kukamilika kwa marekebisho ya njia hiyo siku ya Ijumaa ya Machi 2 Kampuni ya TRL itaanza kutoa huduma ya usafiri wa Treni ya abiria huku akiwaomba radhi wananchi na wasafiri wanautumia usafiri huo kwa uvumilivu wao kwa kipindi chote walichositisha huduma hiyo ya usafiri.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.