Habari za Punde

TWIGA STARS KUCHEZA NA ZAMBIA AFCON YA WANAWAKE


Timu ya Taifa ya Wanawake(Twiga Stars) itacheza na Zambia katika mchezo wa kufuzu fainali za Africa kwa Wanawake zitakazochezwa Ghana baadaye mwaka huu.
Twiga Stars inatakiwa kucheza mechi zote mbili kati ya April 2 na April 10,2018.  Mchezo huo ni wa raundi ya kwanza.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.