Habari za Punde

YANGA WAANZA NA USHINDI WA 'KUBIP' NYUMBANI KOMBE LA MABIGWA

  Mshambuliaji wa Yanga Pius Buswita,akiruka kuwania mpira na kipa wa ST.Louis, Michael Ramandimios, wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya ST. Louis, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga wameshinda bao1-0 lililofungwa na Juma Mahadhi katika dakika ya 67.
Beki wa Yanga, Hassan Kessy (kulia) akiruka kukwepa kwanja la beki wa ST. Louis, Steve Henriette, wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya ST. Louis, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
 Emmanuel Martin wa Yanga (kushoto) akimfinya beki wa ST. Louis, Jean Paul Aglae, wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya ST. Louis, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa
 Kiungo  wa Yanga, Papy Kabamba Tshimbi,akipiga shuti wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya ST. Louis, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa
 Hassan Kessy (kulia) akijaribu kumtoka kiungo wa ST. Louis, Herve Rakotoarison, wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya ST. Louis, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa
 Obrey Chirwa,akichuana kuwania mpira na beki wa ST.Louis, Betrand Esther, wakati wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya ST. Louis, uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa 
Kessy akipiga krosi. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.