Habari za Punde

HABARI KATIKA PICHA LOWASA, SUMAYE WALIPOTINGA MAHAKAMA YA KISUTU LEO

Mawaziri wakuu wastaafu Edward Lowassa na Fredrick Sumaye walipohudhuria katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kufuatilia hatma ya kesi ya viongozi 6 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) leo

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.