Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Madereva wa Bodaboda wakiwa wamewapakia abiria wao wajasiriamali na mizigo yao ya ndizi kama walivyonaswa na kamera ya Mmafoto Blog eneo la ofisi za mkuu wa mkoa Morogoro mjini Morogoro, jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao. Picha na Muhidin Sufiani (MAFOTO)

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.