Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

 Barabara ya Jangwani kituo cha mabasi ya mwendo kasi likiwa limejaa tope na kusababisha magari kupita kwa tabu mchana wa leo kutokana na mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam, jana na kupelekea kufungwa kwa muda barabara hiyo leo asubuhi jambo ambalo lilisababisha msongamano mkubwawa magari katika barbaraba nyingi za jijiji.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.