Habari za Punde

KAMERA YA MAFOTO BLOG MITAANI LEO

Mkazi wa jijini Dar es Salaam, ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, akiwa na usafiri wake wa Baiskeli akiwa amepakia chupa tupu kama alivyonaswa na kamera ya Mafoto Blog mitaa ya Keko jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.