Habari za Punde

KUTOKA UWANJA WA TAIFA MASRI WANAONGOZA 2-1

Kutoka uwanja wa Taifa mchezo ni kipindi cha pili huku Al Masri wakiongoza mabao 2-1 ambapo simba ndiyo walikuwa wa kwanza kupata bao kwa mkwaju wa penati, na dakika moja baada ya penati hiyo. KAA NASI KWA MATOKEO KAMILI YA MTANANGE HUU HAPO BAADAYE

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.