Habari za Punde

KUTOKA UWANJA WA TAIFA YANGA 1- TOWNSHIP ROLLERS 1 NI KIPINDI CHA PILI

Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa akiisawazishia timu yake katika dakika ya 30 kipindi cha kwanza dhidi ya Township Rollers katika mchezo wa Klabu Bingwa katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam, mchezo unaoendelea hivi sasa. Township walipata bao la kwanza katika dakika ya 10.
 Chirwa akishangilia bao lake
Ibrahim Ajib akijaribu kumtoka beki wa Township. KWA MATOKEO KAMILI YA MCHEZO HUU KAA NASI HAPO BAADAYE......

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.