Habari za Punde

LIGI KUU YA WANAWAKE YA SERENGETI PREMIUM LITE HATUA YA NANE BORA KUENDELEA KUTIMUA VUMBI KESHO

Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premieum Lite hataua ya Nane bora inataraji kuendelea kesho Jumamosi Machi 3,2018 na Jumapili Machi 4,2018.
Jumamosi,Machi 3,2018  
Panama FC vs JKT Queens        Uwanja wa Samora
Jumapili Machi 4,2018
Simba Queens vs Evergreen       Uwanja wa Karume
Mlandizi vs Kigoma                    Uwanja wa Mabatini

Baobab vs Alliance                      Uwanja wa Jamhuri

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.