Habari za Punde

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BILL MELINDA GATES FOUNDATION

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Bill na Melinda Gates Bw. Rodger Voorhies kwenye Makazi ya Makamu wa Rais, Kilimani mjini Dodoma. 
 Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.