Habari za Punde

MKUU WA MKOA KILIMANJARO AKABIDHI MABRANKETI HOSPITALI YA ST. JOSEPH

 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira(wa pili kulia) akimkabidhi moja ya mablanketi Mganga Mfawidhi wa hospitali Teule ya St Joseph mjini Moshi,Mtawa Dk Urbani Lyimo(kushoto) msaada uliotolewa na benki ya NMB,kulia anayeshuhudia ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini,Salie Mlay .

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira(katikati) akipokea sehemu ya msaada kutoka kwa Meneja wa benki ya NMB tawi la Mbuyuni Moshi mjini,Rose Manoni wenye thamani ya Sh 10 milioni kwaajili ya hospitali Teule ya St Joseph ,kushoto ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo,Mtawa Dk Urbani Lyimo(kushoto) kulia ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini,Salie Mlay .
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira(kushoto) akipokea sehemu ya msaada kutoka kwa Meneja wa benki ya NMB Kanda ya Kaskazini,Salie Mlay wenye thamani ya Sh 10 milioni kwaajili ya hospitali Teule ya St Josephmjini Moshi.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Anna Mghwira akizungumza katika hafla ya kupokea msaada kutoka benki ya NMB wenye thamani ya Sh 10 milioni kwaajili ya hospitali Teule ya St Joseph ,kushoto ni Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo,Mtawa Dk Urbani Lyimo(kushoto) kulia ni Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini,Salie Mlay

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.