Habari za Punde

RC TABORA ATOA MAFUNZO YA KUNYUNYIZA DAWA ZA KUUA WADUDU

 Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kushoto) akiendesha mafunzo ya njia sahihi za kunyunyuzia dawa za kuua wadudu katika zao la pamba katika Kijiji cha Muhuridede wilayani Uyui jana. Kulia ni Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Uyui Queen Mlozi.
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Muhuridede wilayani Uyui wakifuatilia mafunzo ya unynyuziaji wa dawa sahihi za kuua wadudu katika zao la pamba yaliyokuwa yakiendeshwa na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey mwanri katika ziara yake katika maeneo mbalimali ya kuokoa zao hilo. Picha na Tiganya Vincent RS TABORA

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.