Habari za Punde

STARS KICHWA CHINI TENA KWA ALGERIA YAPIGWA 4-1

 TIMU ya Taifa ya Tanzania usiku huu imepoteza mchezo wake wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Algeria mchezo uliopigwa nchini humo. Mabao ya Algeria yamefungwa na Baghdad Bounedjah katika dakika ya 13 na 80, Beki wa Stars Shomari Kapombe aliyejifunga dakika ya 43 na Carl Medjan dakika ya 52, huku bao pekee kwa Stars likifungwa na Simon Msuva dakika 20.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.