Habari za Punde

WANAHABARI KWENDA AFRIKA YA KUSINI KUHUDHURIA MAFUNZO YA UANDISHI HABARI ZA KODI

 Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere akizungumza na baadhi ya Waandishi wa habari waliochaguliwa kwenda nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria mafunzo ya uandishi wa habari za kodi yaliyoandaliwa na Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF) yatayofanyika nchini Afrika Kusini kuanzia tarehe 26 - 28 Machi, 2018.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Charles Kichere (wa nne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Waandishi wa habari waliochaguliwa kwenda nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria mafunzo ya uandishi wa habari za kodi yaliyoandaliwa na Jukwaa la Usimamizi wa Kodi Afrika (ATAF) yatayofanyika nchini Afrika Kusini kuanzia tarehe 26 - 28 Machi, 2018. 

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.