Habari za Punde

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA MAWAZIRI CHA KUPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO YA MKUTANO WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma , Machi 29, 2018. Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya kuongoza Kikao cha Mawaziri cha Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma.
Baadhi ya Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipoongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri cha Kupitia Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Mawaziri cha Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage (wapili kushoto), Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Phillip Mpamgo na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kulia) baada ya kuongoza Kikao cha Mawaziri cha Kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Maazimio ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara kwenye ukumbi wa Hazina mjini Dodoma leo. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.