Habari za Punde

YANGA HOI KWA TOWNSHIP NYUMBANI YACHEZEA 2-1

 Papy Tshishimbi akiwania mpira na beki wa Township, wakati wa Mchezo wa Klab Bingwa, uliochezwakwenye Uwanjwa wa Taifa jijini Dar es Salaam, jioni ya leo. Katika mchezo huo Yanga wamekubali kichapo cha mabao 2-1.
 Hassan Kessy akikosa bao
 Buswita akimtoka beki waTownship

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.